Kiwanja kinauzwa

Nyabiri

Member
Apr 15, 2017
57
36
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua 25 marefu,na hatua 20 mapana kinauzwa kwa Tsh.500,000/= (laki tano) tu.

kipo mkoa wa morogoro wilaya ya kilosa kata ya magole mji mdogo wa dumira barabara iendayo kilosa,

kwa mawasiliano zaidi piga namba 0743708675.
Nipigie tutaelewana.
 
sawa mkuu lakin maeneo ya dumira ni maeneo mazuri saana na panakua kwa kasi kubwa kwa sababu pako kwenye barabara za makutano,kuna barabara kuu ya kutoka dar kwenda mwanza kupitia dodoma na pia kuna barabara iendayo kilisa,lakini vilevile barabara iendayo tanga, kwa anaepajua vizuri na kutokana na makutano hayo,panafaa kibiashara n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom