Tamutamusana
Member
- Nov 18, 2016
- 46
- 39
Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
Aliyekuchorea ramani anauwezo wa kukukokotolea kila kitu.Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
Mkuu usd 60mi*2200 uko serious kweli?M 60? USD AU
Kuna fundi mwingine alisema tsh 150 mil hadi kuezeka. Sasa sijui yupi mkwelinazani fundi atakusaidia zaidi..
ila tumia ujanja wa kutafuta mafundi watatu wasiojuana... kisha kila mmoja muulize..
wakikupa majibu yanafanana fanana jua ni kweli
Anasema nipeleke kufanyiwa BOQ, eti nakwenyewe ni toe helaAliyekuchorea ramani anauwezo wa kukukokotolea kila kitu.
Inaweza kuwa kweli ama sio kweli kwa hiyo gharama. Zifuatazo ni factor mhimu kuzingatia:Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
Huyo Tapeli Tu Alisema Nyumba Ya Vyumba 2 Ni Milion 50 Na Ya Ghorofa 1 Ni Milioni 150Kuna fundi mwingine alisema tsh 150 mil hadi kuezeka. Sasa sijui yupi mkweli
Huyo atakuwa karibu na ukweli,ila wa 60m mhh labda inaonekana kama ndogo kwa ghorofaKuna fundi mwingine alisema tsh 150 mil hadi kuezeka. Sasa sijui yupi mkweli
Amezungumzia structure na kuezeka mkuu.Ghorofa inakamua wewe.Andaa Mil.300 Minimum.Kuna msingi.Kuna slab.Kuna kuezeka.Ya kuanzia.lazima mil.50 uwe nayo mfulomi
150mil kwa structure ya 14m to 13 m ni hela nyingi sana.Huyo atakuwa karibu na ukweli,ila wa 60m mhh labda inaonekana kama ndogo kwa ghorofa
Kama ni hivi nimegailiGhorofa inakamua wewe.Andaa Mil.300 Minimum.Kuna msingi.Kuna slab.Kuna kuezeka.Ya kuanzia.lazima mil.50 uwe nayo mfulomi
Nyumba ya juu itagharimu ngapi?Tambua kujenga msingi tu mpaka level ya jamvi 32M-40M kwa kushirikisha mtaalam tu na sio kampuni ya ukandarasi.
Ndo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.Amezungumzia structure na kuezeka mkuu.
Usipende kuwatisha watu
Uko sahihi.Mafundi wanakuficha ili usiogope.MM niliezeka vifaa tu mbao na roofs (tiles)bila ufundi ilikwenda 35MTambua kujenga msingi tu mpaka level ya jamvi 32M-40M kwa kushirikisha mtaalam tu na sio kampuni ya ukandarasi.
Ndo nasemea yaani boma peke yake.Sijamtisha,Ninalo nimeliezeka likanishinda finish.Fundi mwenyewe kujenga tu kuanzia msingi hadi ghorofa ya kawaida anakula kuanzia 10-20M.Kuna kitu kinaitwa Slab kinakula pesa hatari.Ukitumia roof za Nabaki Afrika ndo usiseme.Ukijifanya kulinyima cement linaporomoka.Linakula nondo usipime.