Sumsung inauzwa

Bornventure

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
529
523
Wadau nimetingwa sana . Nataka niuze simu (ni yangu mwenyewe) sumsung galaxy grand prime+ ni mpya bado ina miezi miwili tangu itoke dukani. Shida yangu nipate 250,000 tu.
Samahanini , ni Samsung Galaxy Grand Prime+
 
Wadau nimetingwa sana . Nataka niuze simu (ni yangu mwenyewe) sumsung galaxy grand prime+ ni mpya bado ina miezi miwili tangu itoke dukani. Shida yangu nipate 250,000 tu.
Mkuu sumsung au Samsung? Fanya editing km umekosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom