George_Mbuligwe
Member
- Sep 17, 2016
- 72
- 22
picha zaidiToyota corola inauzwa, bei 5,000,000/=...Dar es salaam, haina tatizo haidaiwi. Mawasiliano 0719049292
Kama uko interested kuna namba ya simu apo njoo uioneToa maelezo toshelezi mkuu.
Mfano imetembea km ngapi nk
Pia weka picha za ndani na mbele.
4.7 inawezekanaVIPI 4m mkuu tunaweza ongea
Mkuu hii gari haidaiwi chochote kama unaitaka kweli njoo ukague... 4.7 inakua yako4. 5 vp afu inadaiwa nn
poa mkuu usipopata mteja nishitue nikupe 4m usawa wangu haufiki huko 4.74.7 inawezekana
Poapoa mkuu usipopata mteja nishitue nikupe 4m usawa wangu haufiki huko 4.7