Je kutengeneza website ya .or.tz ni bei gani? Na kutengenezewa email za hiyo website (yourname@yourcompany.or.tz) ni bei gani?
Ukisha nitengenezea hivyo je kuna gharama yoyote ya kulipia baadae?(Domain registration + Email account + Website) ni approximately laki moja na nusu for a simple 4 pages website with email account and 3 months hosting.
Ukisha nitengenezea hivyo je kuna gharama yoyote ya kulipia baadae?
Je hakuna airtime yoyote ya kulipia ile kitu mnaita domainUkijifundisha kufanya maintainance unaweza kufanya updates mwenyewe bila kuingia gharama za web designer.
Je hakuna airtime yoyote ya kulipia ile kitu mnaita domain
Hizi ndio taarifa mhimu mnatakiwa kutueleza sio mnaongea juu juu tu alafu watu tuje kichwa kichwa. Kama fee ya mwaka haizidi laki tano nitakutafuta, lkn acha nipate taarifa zaidi nisije ingia mkengeLazima ulipie domain registration fees kila mwaka na hosting fees kulingana na mkataba ilioingia na web hosting company. Kunazo packages za Tshs 50,000 kila mwaka
Hizi ndio taarifa mhimu mnatakiwa kutueleza sio mnaongea juu juu tu alafu watu tuje kichwa kichwa. Kama fee ya mwaka haizidi laki tano nitakutafuta, lkn acha nipate taarifa zaidi nisije ingia mkenge