House4Sale Tunauza nyumba Dodoma mjini Ilazo nyuma ya Shule ya martin luther

bullbar

Senior Member
Oct 21, 2014
148
126
Habarini wana bodi..tunauza nyumba yetu maeneo ya Ilazo dodoma mjini..barabara lami umeme na maji ndani ya nyumba ina fence na geti kabisa pia ina frame mbili..nyumba imeishia juu ya lenta ina vyumba vinne sebule jiko store dinning vyoo vya public pia vyumba vitatu ni master rooms..kiwanja ukubwa ni 20 kwa 30..bei ni million 35 haishuki..kwa mawasiliano piga 0621002367
20170417_134859.jpg
20170417_134805.jpg
20170417_134731.jpg
20170417_134724.jpg
20170417_134526.jpg
20170417_134343.jpg
20170417_134258.jpg
20170417_134352.jpg
20170417_134224.jpg
 
Ninahitaji hiyo nyumba lakini ninaogopa utapeli. Ni ya familia, ya kwako na hati miliki unayo. Kuna mambo ya benki labda umekopa na unadaiwa na benki. Na mengineyo inaatufanya kuwa very careful wakati wa kununua property. Wengi wamelizwa sana na haya mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom