Biashara ya car hire kupitia Uber

Biashara ya car hire kupitia Uber

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
6,651
Reaction score
8,699
Wapendwa,

Nimekwama mahala kwa mwenye kuelewa, nina gari yangu natumia kama kukodisha iwe ni mtu binafsi, office kwa safari yoyote ile ila nilitaka nijiunge hawa Uber kutangaza biashara yangu, nimedownload hiyo App na inaonyesha tu nimejiunga huko baada ya kujaza walichokua wanataka kulingana na mlolongo unapoistart.

Kwamba naweza ona gari zilizotanfaza biashara kama car for hire au ni taxi sasa mimi siyo mteja wa kukodi gari bali mimi ndo nataka kuweka huko tangazo langu kama nakodiwa kibiashara, sasa namna ya kuweka kibiashara ndo nimeshindwa napitia njia zipi.

Kama kuna mwenye kujua hili msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom