vivianlyimo_teamoriflame
Member
- Mar 10, 2017
- 91
- 53
Oriflame ni kampuni ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50.
Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwani hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na watoto, zitokanazo na mimea, matunda na maua, maziwa na asali.
Oriflame inatupa fursa za aina tatu:
(1) KUPENDEZA : kwa kuanza kutumia sisi wenyewe.
(2) KUTENGENEZA PESA: kuko kwa aina mbili.
1. Ukiwa member unanunua kwa punguzo la asilimia 23.
2. Kwa njia ya bonus .
(3) KUFURAHIA MAISHA
OK Napenda kukumbushia namna ya kupata faida nzuri na kukamilisha ndoto zetu na oriflame.
BONUS ,
Kila bidhaa unayonunua oriflame ina point imeandikwa bp kadhaa,hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yaani na wale walioingia chini yako yaan downliners wako.
mf umeingiza watu wa 3mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa 300na za kwako 400,utakuwa 3%.
mwezi ujao wale nao wakiingjza wa 3,kila mmoja wao atakuwa na team ya watu 4,Nawewe unaingiza 3 tena.Jumla utakuwa na member 15.Na kila mmoja kafanya bp 100,Jumla utakuwa na bp 1600 ambayo sawa na 9%. Natofauti ya wale wa chini yako utalipwa tena.
Hiyo ndio mtandao au network business. nimekupa kidogo karibu kwenye mafunzo kwa ujuzi zaid
Kuanzia 12% hadi 18% ni manager.
21% ni senior manager.
Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndan ya mwaka anapanda na kuwa director na kupewa dollar 1000 cash award tofauti na bonus yake .
cha muhimu ni kuwa na team kubwa na ya kuchapa kazi, Uwezi kuwa manager kama una wa kmuongoza ,Unganisha wengine wengi haijarish elimu yako ,Amua leo kuwa boss
Oriflame inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi,kila bidhaa unayonunua ina point naujumulishwa mwisho wa mwez unalipwa bonus kuanzia point 200 kwenda juu.
Hii ni point table
200~599=3%
600~1200=6%
1200~2399=9%
2400~3999=12%
4000~6599=15%
6600~9999=18%
10000=21%
Hiyo ndio table point na bonus yake iko hivi:
3%= 4700~14000sh
6%=sh 28100~56200
9%=84300~168600sh
12%=224900~374800s
15%=468600~773100s
18%=927800~1405700
21%=1.6M
Hii inategemea network yako imekaaje na nia katika mafanikio.
Training huwa bure whatsap, nicheck0672416294 karibu tuzungumze biashara.