Habari yenu wana jamvi,
Nahitaji printer ya black and white only ambayo haina matumizi makubwa ya wino, naomba kwa wenye uzoefu tuwasiliane.
Asanteni sana
Karibu upate mfumo bora wa ujenzi kutoka kwa
kampuni ya ONE2ONE FOCUS LIMITED yenye watalaam waliobobea
katika ujenzi, tutakujengea nyumba yenye ubora na uimara
maradufu kwa gharama nafuu inayo...
Karibu upate mfumo bora wa ujenzi kutoka kwa
kampuni ya ONE2ONE FOCUS LIMITED yenye watalaam waliobobea
katika ujenzi, tutakujengea nyumba yenye ubora na uimara
maradufu kwa gharama nafuu inayo...
Natamani kujua sababu ya Leo watu kuweka apples Katika profile picture zao sanasana whatsapp
Sababu Haswaa ni Ipi kama unajua real reason please nisaidie
Nauza mbao za kawaida 2×4 na 2×2 kwa bei ya jumla bei ni 2×2 @3000 na 2×4@6000 kwa wingi wowote mteja anao hitaji maongezi yapo kutokana na wingi wa mzigo mawasiliano 0715426668
Habari wanajamvi ninapenda kuwa tangazia kuwa kwa mtu yeyote mwenye shida ya kununua mbwa aina tajwa hapo juu ni mbwa wa aina yake na pia n mbwa pekee ambao unaweza kuwa train wakacope na...
[1/27, 10:32 PM] Dr.G: KARIBU KATIKA FURSA YA
*HELPING HAND INTERNATIONAL (H2i)*
_TIN 127-248-435_
_Brela -128802_
[emoji117]soma ,elewa, uliza& chukua hatua[emoji124](kujiunga)
Whatsap call...
Habari wadau linahitajika eneo ambalo naweza kuweka biashara ya petrol station kuanzia ukubwavya wa 50×50 kwenda juu maeneo yenye watu wengi
kama buguruni
Ubungo
Msasani...
Wakuu habari za jioni!
naomba msaada mwenye uelewa au ufahamu wa mashamba ya kukodi maeneo ya Mkuranga au kigamboni ambapo patafaa kulima Matikiti Maji, kuwe na mazingira ya maji kwa aajili ya...
Karibu ujipatie batiki nzuri zenye viwango hazipauki wala kuchuja tunakupa kitu cha uhakika,ukubwa ni mita 2 per piece na piece moja ni sh elfu 14
Jumla pia Tunauza karibuni sana
Napatikana dar...
Je unakipaji?,
Wewe ni dancer, Comedian, Mwanamziki chipukizi au mpenda burudani lakini huna mashabiki yaani fan base itakayokufanya uoneshe kipaji na kuwa maarufu.!
Basi ndo muda muafaka...
Kwanza i hope comrades wa JF mnakuoa raha ndani kipindi hiki cha sikukuu kabla ya kurudi kwenye majukumu yetu ya ujenzi familia zetu pamoja na taifa kwa ujumla! :-)
Kwa wale wenye gari hii...
Naitwa Barnabas Jacob Nyerembe. Natafuta mtu tunae weza kushirikiana katika shughuli za kilimo cha mazao mbali mbali.
Nina Shamba lenye ukubwa wa Ekari 10 lipo kandokando ya ziwa Victoria pia...
Habari za mishemishe wakuu.
Nauza TV sumsung inch 32 mpya tsh. 450,000.
Warrantee 1yrs
Lisiti zipo na ina mwezi mmoja tangu inunuliwe.
Nahamia mkoani baada ya kupangiwa kituo Kipya cha kazi ndo...
Wadau,
Nyumba inauzwa Kibaha Visiga ina hati imefunga mpaka lenta, kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki eneo ni 588sm bei ni shilingi 20 milion, bara bara mpaka...
Nauza net za kisasa, zenye muonekano amazing, pana na ndefu, high quality, unaweza kufunga kwa stayle tofauti tofauti, ziko aina tofauti tofauti, zimebaki chache, bei ni Tshs. 55,000 tu. Karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.