Haya ndio mafuta pekee kwa mtanzania wa kawaida

anonymous-Tz

Senior Member
Apr 15, 2017
143
77
Sifanyi matangazo ila kama ww ni mtz wa kawaida bas tafuta mafuta aya kisha uta niambia ni best maana mm sioni haja ya kua na mafuta zaidi ya kumi uso mmoja yanaitwa FAMILY CARE
1c46a1e67ea0287fee9a0f819fbef651.jpg

We ar anoymous

We ar legion

Expect us
 
Ni ya wanawake au ya wote kama familia?
 
Kwa maeneo yenye baridi BodyLuxe ndio mafuta muafaka au labda inategemeana na ngozi ya mtumiaji
 
Back
Top Bottom