Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau linahitajika eneo ambalo naweza kuweka biashara ya petrol station kuanzia ukubwavya wa 50×50 kwenda juu maeneo yenye watu wengi kama buguruni Ubungo Msasani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni! naomba msaada mwenye uelewa au ufahamu wa mashamba ya kukodi maeneo ya Mkuranga au kigamboni ambapo patafaa kulima Matikiti Maji, kuwe na mazingira ya maji kwa aajili ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Karibu ujipatie batiki nzuri zenye viwango hazipauki wala kuchuja tunakupa kitu cha uhakika,ukubwa ni mita 2 per piece na piece moja ni sh elfu 14 Jumla pia Tunauza karibuni sana Napatikana dar...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Je unakipaji?, Wewe ni dancer, Comedian, Mwanamziki chipukizi au mpenda burudani lakini huna mashabiki yaani fan base itakayokufanya uoneshe kipaji na kuwa maarufu.! Basi ndo muda muafaka...
1 Reactions
0 Replies
605 Views
Visima kwa bei nafuu 'tunapatikana dar es salaam kwa melezo zaidi namba ya simu 0656535266. ..au blog yetu Saidyhasheem.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza i hope comrades wa JF mnakuoa raha ndani kipindi hiki cha sikukuu kabla ya kurudi kwenye majukumu yetu ya ujenzi familia zetu pamoja na taifa kwa ujumla! :-) Kwa wale wenye gari hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitwa Barnabas Jacob Nyerembe. Natafuta mtu tunae weza kushirikiana katika shughuli za kilimo cha mazao mbali mbali. Nina Shamba lenye ukubwa wa Ekari 10 lipo kandokando ya ziwa Victoria pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mishemishe wakuu. Nauza TV sumsung inch 32 mpya tsh. 450,000. Warrantee 1yrs Lisiti zipo na ina mwezi mmoja tangu inunuliwe. Nahamia mkoani baada ya kupangiwa kituo Kipya cha kazi ndo...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Wadau, Nyumba inauzwa Kibaha Visiga ina hati imefunga mpaka lenta, kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki eneo ni 588sm bei ni shilingi 20 milion, bara bara mpaka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza net za kisasa, zenye muonekano amazing, pana na ndefu, high quality, unaweza kufunga kwa stayle tofauti tofauti, ziko aina tofauti tofauti, zimebaki chache, bei ni Tshs. 55,000 tu. Karibuni...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Moja kati ya vitu ambavyo vinzaweza vikakushanganza utakapotembelea mji wa Dar es salaam ni hii ya kutoa pesa iliununue pesa, Mfanyabiashara Eli amesema Dar es salaam apatupwi hata pesa mbovu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je uko china ama tanzania na unataka kusafirisha mizigo yako kibiashara javis tupo kwa ajili yako tuna safirisha mizigo ya wateja wetu toka china na tuna fanya manunuzi ya bidhaa pia fika ofisin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji huduma ya kupimiwa kiwanja, kununua kiwanja kilichopimwa ( Fukayosi bagamoyo na Kerege Bagamoyo plus Kimbiji Kigamboni), huduma ya kufanyiwa renovation au kujenga nyumba,frem nk...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Hii sabufa sio ya kichina pia haina redio napatikana dar buguruni. 0659865639
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavojieleza nipo ubungo morden nnaihitaji simu aina yoyote iwe na hali nzuri coz kwa simu huaga sidanganywi so jishaurishe kwanza. Inahitajika kwa uharaka; nnnaofa pesa taslim...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Toyota noah 1999 Kilomita-80000 Bei- 10 milion Dar es salaam Serious buyers 0715591141 nipigieni tufanye biashara
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Hope mpo ok wadau:Mdogo wangu anatarajia kuja kuripoti kazini hivi punde Jijini Dodoma,Naomba uzoefu wa Gharama za Chumba/vyumba na maeneo poa kwa kuanzia Maisha.
0 Reactions
1 Replies
786 Views
https://carfromjapan.Com/end/campaign/car-from-japan-grand-giveaway-2017? refer=58eba9aca2dbe00001c7ebd1
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Wadau nimetingwa sana . Nataka niuze simu (ni yangu mwenyewe) sumsung galaxy grand prime+ ni mpya bado ina miezi miwili tangu itoke dukani. Shida yangu nipate 250,000 tu. Samahanini , ni Samsung...
0 Reactions
4 Replies
753 Views
Back
Top Bottom