Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau. Nahitaji simu smart yoyote nzuri ofa yangu 100000 tu. Atakaye leta simu nzuri zaidi atapata mzigo huo. Please usichelewe.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Eneo lipo Kaole Bagamoyo Ukubwa ekari 10 kiasi 70million. kwa maelezo zaidi njoo Pm au uliza hapa hapa. Kwa wanaoyajua hayo maeneo kwa bei hiyo ni sawa na kuokota dodo kwani kabla hali haijawa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu amani kwenu! Kama title ilinavyodadavua, Mimi ni kijana wa miaka 28 (me) Nina shahada ya Elimu ya Saikolojia (hons) ya udsm. Nimewahi kufundisha part time Tabota TTC, Ekernforde Tanga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau wa ujenzi iwe muuzaji au mnunuaji wa vifaa vya ujenzi uzi huu ni mahususi kwa ajili ya vifaa vya ujenzi mimi nauza na kusambaza vifaa vya ujenzi ningependa kuwaletea uzi huu kwajili...
7 Reactions
87 Replies
22K Views
Wakuu naomba mnijuze kwa wale wenye conections na wahitaji wa asali mbichi toka Mpanda..soko lake likoje maana mim nahitaji kuifanya hii biadhara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari ya asubuhi? Mwenzenu nategemea kufungua stationery hivi karibuni na namshukuru Mungu nishapata mlango na nishaanza kuufanyia modifications ili ukae kistationary.. lkn changamoto...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Wakuu Nahitaji printer ya A3,wino wa rangi,iwe ina print manila,natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ramani za nyumba bora zinapatikana kwa bei ndogo sana na pia tunaweza kumshirikisha mteja wetu wakati wa utengezaji,tafadhari wasiliana nasi kwa simu namba 0625904597
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Huwezi amini kama imetengenezwa bongo. Bongo Cars | Home Website ya kisasa ya kuuza na kununua magari east africa nzima imefunguliwa. Sasa imeruhusu wauza magari kuanza kujiunga na post magari...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Heshima kwenu! Nina mzani ule wa kukalisha mazao/bidhaa wakati wa kupima lakini mawe yake yamepotea pamoja na kile kisanduku kinachopitishwa kwenye rula, ningependa kujua kwa anayejua bei ya mawe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani wanasheria nisaidieni sample nauza nyumba nimeelezwa gharama za lawyers ni kubwa nisaidieni chonde chonde
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Habari wana JF. Nina muswada wa kitabu, natafuta sehemu ya kufanyia production. Kama unafahamu au una kampuni ambalo linafanya production ya vitabu kwa bei nafuu, naomba tuwasiliane. Natanguliza...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina Shamba nilinunua chini ya kampuni wanao uza mashamba ya mradi linauzwa milioni tano ni eka tano malipo ni kwa installment nikalipa installment ya kwanza 1.5m sasa tukapata eneo lingine mjini...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Make : Toyota Model : Landcruiser Prado Mileage : 154,193km Engine size: 2,700cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 1998 Doors : 5...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
SULUHISHO LA NDOA. Ni mchanganyiko wa ASALI MBICHI ORIGINAL YA NYUKI WADOGO,TANGAWIZI, MDALASINI WA INDIA,KITUNGUU SAUMU. Hii ni kwa Wanaume/Wanawake (wenye kukosa hamu ya tendo) na watoto pia...
0 Reactions
1 Replies
20K Views
SULUHISHO LA NDOA. Ni mchanganyiko wa ASALI MBICHI ORIGINAL YA NYUKI WADOGO,TANGAWIZI, MDALASINI WA INDIA,KITUNGUU SAUMU. Hii ni kwa Wanaume/Wanawake (wenye kukosa hamu ya tendo) na watoto pia...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama tittle inavyojieleza, simu mpya full boxed, ina 256GB Kwa milioni moja na laki saba tu. Call 0693296134
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom