Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nauza mbuzi jike mkubwa na mdogo dume. Ukitaka kwa wote bei ni laki 140 na wapo katika hali njema. Ukitaka mmoja wapo ni maelewano. Mbuzi wanapatikana Kigamboni, Dar es Salaam. Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza sungura wa kisasa mmoja 30,000 nipo mbezi makabe Call/whatsapp 0753534514
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosema,natafuta nyumba. Sitaki madali. Nataka mwenye nyumba tu awasiliane na mimi. Maeneo: Mbezi,'Mikocheni Tozo:Laki tano ndio bajeti yetu,itategemea na eneo husika. Nyumba...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Wakuu amani iwe kwenu wote. Nimefungua kiwanda cha kusagisha na kupack unga wa mahindi wa Sembe na Dona. Taarifa za mradi ni hizi. 1. Mashine ipo Mbalizi Mbeya. 2. Ina uwezo wa kusaga Unga wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Za siku wanajamvi, Ndugu zangu natafuta photo printer yenye uwezo wa kuprint picha za nchi 5 kwa 7 na kuendelea. Mashine nayojua yenye uwezo huo ni HiTi P510K, nimeitafuta Arusha na Moshi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau natafuta Nyumba ya kupanga kama apartment. Iwe na Room 2 moja iwe ni Master na iwe ndani ya Fens, maji ya Uhakika. Contact me : 0714880007 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni Vitu gani unaweza kuuza kirahisi toka Marekani ?
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Nikisema OFFER namaanisha OFFER kweli kweli kwa ajili yako mteja wangu.. Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia yaani hazina viambata sumu. Pia kwa wale waliotumia vipodozi...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Azamtv sasa inakuletea kifurushi cha wiki yaani siku 7 kwa Tsh 5,000 tu kwa chanel 50 ....
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Make : Nissan Model : Civilian Mileage : 97,419km Engine size: 4,200cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 1999 Doors : 2 Seats : 29...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye nayo iwe nzima lakini pia iwe original aje hapa na bei
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Sim inauzwa Samsung J1 Ace haina tatzo lolote
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Nauza raba original za kiume Dar nakuletea ulipo free delivery Mikoani natuma no zangu 0659557947 Bei ni 25000
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tecno W4 used one month,bei 150..ipo kwenye hali nzuriiii
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Tunakodisha gari jipya kabisa aina ya Toyota alphard kwa ajili ya kubeba maharusi,maids na wageni wengne wanaohitaji usafiri wa dar na kwenda nje ya dar bei ni nafuu kuanzia 250000/= kwa siku bei...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina order kupeleka Zambia. Tani elf 10 na itaendelea kukua kardri muda unavyozidi kwenda Mazungumzo yanelekea Ukingoni sasa je ni yema kuagiza toka Dubai, Pakistan, India, au Kununua tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua bei ya gari caring TI kuna mtu anataka anunue
0 Reactions
4 Replies
3K Views
king'amuzi cha AZAM kinauzwa bei-Tsh 100000,piga namba 0762815309
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Back
Top Bottom