Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
Kama tittle inavyojieleza, simu mpya full boxed, ina 256GB
Kwa milioni moja na laki saba tu.
Call 0693296134
Kwa milioni moja na laki saba tu.
Call 0693296134
Joseverest kumbe bado anakula sikukuu. Picha tafadhali
Ikiwa boxed ndio haifunguliwi mkuu. Mbona hata madukani huwa kuna display au yako ni hiyo moja tu. Wateja watahisi unataka kuwauzia mbuzi kwenye gunia mkuu.Boss umeambiwa simu iko boxed mpya sa unataka picha za box au?
Ikiwa boxed ndio haifunguliwi mkuu. Mbona hata madukani huwa kuna display au yako ni hiyo moja tu. Wateja watahisi unataka kuwauzia mbuzi kwenye gunia mkuu.
Sent from my HTC One A9 using JamiiForums mobile app