superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 54
jamani wanasheria nisaidieni sample nauza nyumba nimeelezwa gharama za lawyers ni kubwa nisaidieni chonde chonde
Acha ubahili,nenda kwa mwanasheria,atakuandikia mkataba kufuatana na matakwa yako.gharama ya mwanasheria inafuatana na thamani ya unachouza.kuwa mwerevu ndugu.pia usisahau kulipa kodi ukishauza,nchi yetu inategemea kodi kuendesha hospitali na huduma nyinginezo.jamani mbona mnanipotezea wakati nahitaji msaada , watu wakianzisha mada za malavidavi mnazichangia kwa muda huu ingekuwa pg ya tatu km si ya tano nisaidieni mbona mnakuwa hivyo