ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,942
Huwezi amini kama imetengenezwa bongo. Bongo Cars | Home
Website ya kisasa ya kuuza na kununua magari east africa nzima imefunguliwa. Sasa imeruhusu wauza magari kuanza kujiunga na post magari.
Ina kila kitu, mpaka jinsi ya mnunuaji kuwasiliana na wewe kwa njia ya email au message ndani ya Website umoumo.
Mnunuani gari anaweza kuomba gari (request for a vehicle) ambapo atasema anataka gari ya aina gani, na wauzaji wamtafutie.
Wauzaji wapo waina mbili
1. Wale wa rejareja yaani wabauza gari lao binafsi, ambao wanaweza kujiunga kwa kubonyeza seller - - > Register
2. Ni wafanya biashara ya kuuza magari, yaani dealers na wenye showroom ambao wanaweza kujiunga kwenye menu ya Dealer Registration iliyo chini ya Dealers.
Cha ajabu ni bure na Website haichukui hata cent moja kama commission.
Tukiweza itumia hii website vizuri, sisi wafanya biashara ya magari tutaanza kwenda International.
Update
Jamaa wanampango wa kuweka njia ya wanunuzi kuweza kuomba mkopo wa gari na kulipa taratibu.