suziedalitso
Member
- Apr 24, 2015
- 15
- 4
Nina Shamba nilinunua chini ya kampuni wanao uza mashamba ya mradi linauzwa milioni tano ni eka tano malipo ni kwa installment nikalipa installment ya kwanza 1.5m sasa tukapata eneo lingine mjini kdgo kwa MTU alikuwa anauzwa bei ya chini tukanunua hilo pia.natafuta Mteja mwengine tubadilishe ownership tumpe Shamba lile ya bagamoyo Fukayosi aturudishie 1.5m tumkabidhi kwa kampuni yeye atakayenunua anaendelee kulilipa kwa installment. Wanakubali malipo kwa installment Tatu ni Shamba zuri la kufaa mananasi na mapapayi.kwa mawasaliano zaidi 0756661761.