Boresha Afya ya ndoa

CathLiv

Senior Member
Mar 11, 2017
114
225
SULUHISHO LA NDOA.

Ni mchanganyiko wa ASALI MBICHI ORIGINAL YA NYUKI WADOGO,TANGAWIZI, MDALASINI WA INDIA,KITUNGUU SAUMU. Hii ni kwa Wanaume/Wanawake (wenye kukosa hamu ya tendo) na watoto pia wanatumia kwani ni TIBA LISHE.

Itakutibu NGUVU ZA KIUME/ZA KIKE, Ugumba, Kupunguza Uzito, UTI, Korestro, Kitambi (kupunguza) Kuondoa Sumu na Kusafisha Damu, Gesi, Huongeza Kinga ya Mwili maradufu, Huondoa uchovu, Ni dawa kubwa sana ya Kifua n.k

# VIFAA
1. Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja
2. Vitungu Saumu theluthi (1/3) vilivyomenywa
3.Tangawizi Theluthi (1/3)
4. Mdalasini vijiko vinne vya chai

# NAMNA YA KUANDAA

Saga vitunguu, tangawizi na mdalasini na Blenda,
Mimina Asali yote kwenye Blenda, kisha weka ulivyosaga kwa blenda
Washa Blenda ikoroge mchanganyiko huo dakika 3-5. Hakikisha imechanganyika vizuri na imesagika vyema.

# TUKIKUANDALIA SISI GHARAMA YAKE

1. Tukitumia asali mbichi ya Nyuki wadogo 50,000/=
2. Tukitumia asali ya nyuki wakubwa+Vitunguu Saumu bei ni 35,000/=
NB: Ya asali ya nyuki wadogo ndio bora zaidi na tunashauri hivyo.

# MATUMIZI

Tikisa sana kabla ya kutumia
Ukiamka tu asubuhi tumia vijiko 5 vya chai kabla haujala chochote na ukae kwa muda wa nusu saa ili isambae vizuri mwilini, Dozi ni Lita Moja
Ukirudi usiku tumia tena vijiko 5 kabla haujalala ndio ukalale
HIFADHI KWENYE FRIJI ILA ISIGANDE

*****
# MATOKEO
utapata majibu baada au wakati unatumia mchanganyiko huo hii kiukweli ni bora sana na ni ya asili. Itakufanya uwe kijana nguvu itarudi maradufu..

Watu wa mikoani tunatuma kwenye Bus, tutumie hela yako tunakutumia mzigo, kama haukupokea mzigo na hela umetuma, TUSHITAKI POLISI NA MESEJI YAKO ULIYOTUMIA PESA.

# PIA
Tunauza asali mbichi oroginal haijachakachuliwa imepimwa na imechujwa vizuri, tunaruhusu wateja wetu kuipima wajuavyo kwa kiberiti kwa maji tunaruhusu. Tunajiamini asali yetu ni bora sana na original.

1. Asali ya nyuki wadogo mbichi na Original lita moja tunauza.. 32,000/=
2. Asali ya nyuki wakubwa Mbichi na Original lita moja .........15,000/=
*****

TUSAMBAZA TANZANIA NZIMA...
# TUPIGIE
0769321005
TUNALETA HADI MLANGONI KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
54ec84eb71ddb368c2d12a4d3815f648.jpg
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,467
2,000
Kwanini badala ya kila Uchao kuhangaika kutafuta dawa za kuimarisha Ndoa sasa msiamue mkatutengenezea dawa za kutuwezesha Watanzania wote tusiwe tunalala pale Makinikia yetu yakiwa yanaibwa na kusafirishwa ili tuokoke Rasilimali zetu na nchi ifaidike zaidi na Mwananchi mmoja mmoja?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom