Natafuta sehemu ya kuchapisha kitabu changu.

Natafuta sehemu ya kuchapisha kitabu changu.

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Habari wana JF.

Nina muswada wa kitabu, natafuta sehemu ya kufanyia production. Kama unafahamu au una kampuni ambalo linafanya production ya vitabu kwa bei nafuu, naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mimi nitakusaidia Kuna MTU anafanya kazi hizo kama unataka nitakuunganisha naye
 
Mtafute jamaa anaitwa peter. 0767028828. Wako vizuri sana.
 
Back
Top Bottom