MSAADA WA MAWE YA MZANI

MSAADA WA MAWE YA MZANI

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Heshima kwenu!
Nina mzani ule wa kukalisha mazao/bidhaa wakati wa kupima lakini mawe yake yamepotea pamoja na kile kisanduku kinachopitishwa kwenye rula, ningependa kujua kwa anayejua bei ya mawe pamoja na hicho kisanduku.
 
Back
Top Bottom