Eneo la ekari 10 linauzwa Bagamoyo

Maisha pesa

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
687
1,000
Eneo lipo Kaole Bagamoyo
Ukubwa ekari 10
kiasi 70million.
kwa maelezo zaidi njoo Pm au uliza hapa hapa.

Kwa wanaoyajua hayo maeneo kwa bei hiyo ni sawa na kuokota dodo kwani kabla hali haijawa ngumu yalikuwa yanauzwa 20m-30m kwa eka make ni ukanda wa bandari mpya.
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,927
2,000
Eneo lipo Kaole Bagamoyo
Ukubwa ekari 10
kiasi 70million.
kwa maelezo zaidi njoo Pm au uliza hapa hapa.

Kwa wanaoyajua hayo maeneo kwa bei hiyo ni sawa na kuokota dodo kwani kabla hali haijawa ngumu yalikuwa yanauzwa 20m-30m kwa eka make ni ukanda wa bandari mpya.
Nikitaka ekari moja nitapata kwa shilingi ngapi ?
 
Mzee Mwenzangu

Senior Member
Dec 23, 2013
184
250
Mkuu, watu wengi wanahitaji mashamba lakini hawana shida kama wewe muuzaji.
Hilo tangazo liwekee nyama ili mtu akisoma anatamani akalione eneo
Umbali kutoka baharini
Umbali kutoka kaole kijijini
Kati ya Bagamoyo na kaole au baada ya kaole ukitoka bagamoyo
Namba zako za simu, na je wewe ni dalali au mhusika
Hati, na je eneo limeendelezwa....nk, nk, nk
 
Mzee Mwenzangu

Senior Member
Dec 23, 2013
184
250
Eneo lipo Kaole Bagamoyo
Ukubwa ekari 10
kiasi 70million.
kwa maelezo zaidi njoo Pm au uliza hapa hapa.

Kwa wanaoyajua hayo maeneo kwa bei hiyo ni sawa na kuokota dodo kwani kabla hali haijawa ngumu yalikuwa yanauzwa 20m-30m kwa eka make ni ukanda wa bandari mpya.

Mkuu,
Watu wengi wanahitaji mashamba lakini hawana shida kama wewe muuzaji.
Hilo tangazo liwekee nyama ili mtu akisoma anatamani akalione eneo
Umbali kutoka baharini
Umbali kutoka kaole kijijini
Kati ya Bagamoyo na kaole au baada ya kaole ukitoka bagamoyo
Namba zako za simu, na je wewe ni dalali au mhusika
Hati, na je eneo limeendelezwa....nk, nk, nk
 
Maisha pesa

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
687
1,000
Mkuu, watu wengi wanahitaji mashamba lakini hawana shida kama wewe muuzaji.
Hilo tangazo liwekee nyama ili mtu akisoma anatamani akalione eneo
Umbali kutoka baharini
Umbali kutoka kaole kijijini
Kati ya Bagamoyo na kaole au baada ya kaole ukitoka bagamoyo
Namba zako za simu, na je wewe ni dalali au mhusika
Hati, na je eneo limeendelezwa....nk, nk, nk
Eneo liko Kaole kijijini ni umbali wa 2km kutoka baharini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom