Uzi maalumu vifaa vya ujenzi Uza/nunua

kasuku mtu

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
321
94
Habari wadau wa ujenzi iwe muuzaji au mnunuaji wa vifaa vya ujenzi uzi huu ni mahususi kwa ajili ya vifaa vya ujenzi
mimi nauza na kusambaza vifaa vya ujenzi ningependa kuwaletea uzi huu kwajili ya mauzui ya kutanua biashara na kujifunza pia toka kwa wauzaji wengine na wateja wapya wenye mahitaji ya vifaa vya ujenzi nao hapa watapata mwangaza wa bei ubora.nk
hivyo nawakaribisha kwenye uzi huuu.

mimi nina bizaa hizo kama zifatazo hapo chini na wengine mnaweza kuongezea bidhaa mlizo kua nazo.

MBAO ft12 za dawa
2×2@4000
2×4@7500
1×8@14500
1×10@18500

MBAO ft12 za kawaida
2x2@3500
2x4@6500
1x8@12500
1x10@15500

MBAO ZA DAWA NDEFU
2X2 @500ft
2x4 @1000ft
2x6 @1500ft

MIRUNDA ft12
Inch 2@2700
inch 3@3500
inch 4@4000

MARINDE BODY
Ml 12 47000
Ml 18 56000

MISUMALI
Inch 3<>50kg bag 100,000
4<>50kg bag 100,000
2<>50kg bag 100,000
5<>50kg bag 100,000

NONDO ZA NNJE
Ml 12/10/8/16 @1ton 1900000

NONDO KAMAL STEEL
ML 12/16/10/8 @1ton 1770000

NONDO ZA NDANI
Ml 12 @1ton 1350000
16 @1ton 1350000
10 @1ton 1360000
8 @1ton 1500000

Angalizo kwa wateja wanao hitaji mbao ndefu za kupima nawashauri mmje na fiti zenu kwani madalali wasio waaminifu wanashirikiana na mafundi wenu kuwaibia kupitia vipimo

Kwa mawasiliano 0715426668 pia whatsapp Vifaa vya ujenzi tz link ya proup la whatsapp ujenzi
Location: DSM
0e2ce141db93ebfe16ca3902adbdf44a.jpg

5d0c056b47b309e0eda611bb44952a0a.jpg

Vifaa vya ujenzi tz link ya whatsapp group la vifaa vya ujenzi
 
Attachments

  • 17360520_10207054281909105_787642288_n.jpg
    17360520_10207054281909105_787642288_n.jpg
    57.8 KB · Views: 213
  • 17392729_10207054278589022_148698439_n.jpg
    17392729_10207054278589022_148698439_n.jpg
    39.8 KB · Views: 179
  • 17410394_10207054372031358_807475224_n.jpg
    17410394_10207054372031358_807475224_n.jpg
    83.6 KB · Views: 190
  • 17360872_10207054280989082_797750412_n.jpg
    17360872_10207054280989082_797750412_n.jpg
    34.7 KB · Views: 183
  • 17392729_10207054278589022_148698439_n.jpg
    17392729_10207054278589022_148698439_n.jpg
    39.8 KB · Views: 179
  • 17409974_10207054283229138_1109238338_n.jpg
    17409974_10207054283229138_1109238338_n.jpg
    52.7 KB · Views: 197
  • 17439481_10207054282029108_1615158364_n.jpg
    17439481_10207054282029108_1615158364_n.jpg
    59.4 KB · Views: 204
  • 17439727_10207054372191362_2035562234_n (1).jpg
    17439727_10207054372191362_2035562234_n (1).jpg
    34.2 KB · Views: 194
  • 17439727_10207054372191362_2035562234_n (1).jpg
    17439727_10207054372191362_2035562234_n (1).jpg
    34.2 KB · Views: 156
  • 17888145_10207216169076183_1078255945_n.jpg
    17888145_10207216169076183_1078255945_n.jpg
    44 KB · Views: 216
  • 17888886_10207216168636172_340879251_n.jpg
    17888886_10207216168636172_340879251_n.jpg
    60.7 KB · Views: 175
  • 17888145_10207216169076183_1078255945_n.jpg
    17888145_10207216169076183_1078255945_n.jpg
    44 KB · Views: 179
  • 17918619_10207216166876128_642162470_n.jpg
    17918619_10207216166876128_642162470_n.jpg
    50 KB · Views: 193
  • 17910671_10207216167796151_715390755_n.jpg
    17910671_10207216167796151_715390755_n.jpg
    56.3 KB · Views: 145
Habari wadau wa ujenzi iwe muuzaji au mnunuaji wa vifaa vya ujenzi uzi huu ni mahususi kwa ajili ya vifaa vya ujenzi
mimi nauza na kusambaza vifaa vya ujenzi ningependa kuwaletea uzi huu kwajili ya mauzui ya kutanua biashara na kujifunza pia toka kwa wauzaji wengine na wateja wapya wenye mahitaji ya vifaa vya ujenzi nao hapa watapata mwangaza wa bei ubora.nk
hivyo nawakaribisha kwenye uzi huuu.

mimi nina bizaa hizo kama zifatazo hapo chini na wengine mnaweza kuongezea bidhaa mlizo kua nazo.

MBAO ft12 za dawa
2×2@4000
2×4@7500
1×8@14500
1×10@18500

MBAO ft12 za kawaida
2x2@3500
2x4@6500
1x8@12500
1x10@15500

MBAO ZA DAWA NDEFU
2X2 @500ft
2x4 @1000ft
2x6 @1500ft

MIRUNDA ft12
Inch 2@2700
inch 3@3500
inch 4@4000

MARINDE BODY
Ml 12 47000
Ml 18 56000

MISUMALI
Inch 3<>50kg bag 100,000
4<>50kg bag 100,000
2<>50kg bag 100,000
5<>50kg bag 100,000

NONDO ZA NNJE
Ml 12/10/8/16 @1ton 1900000

NONDO KAMAL STEEL
ML 12/16/10/8 @1ton 1770000

NONDO ZA NDANI
Ml 12 @1ton 1350000
16 @1ton 1350000
10 @1ton 1360000
8 @1ton 1500000

Kwa mawasiliano 0715426668 pia whatsapp
Location: DSM
0e2ce141db93ebfe16ca3902adbdf44a.jpg

5d0c056b47b309e0eda611bb44952a0a.jpg
Kazi nzuri mkuu
 
Wadau naomba kujua jina la hii material inayoonekana kwenye Ukuta. Is it decor plus au ina jina jingine na bei zake zinaendaje??
3029b8c84d0dc5500ce1bffe2cade8b6.jpg
 
Wadau naomba kujua jina la hii material inayoonekana kwenye Ukuta. Is it decor plus au ina jina jingine na bei zake zinaendaje??
3029b8c84d0dc5500ce1bffe2cade8b6.jpg
Nahisi itakuwa cone mix toka nabaki Africa, last time nilinunua laki moja kwa mfuko
 
Back
Top Bottom