Tunafanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key

Brainze11

Senior Member
Sep 2, 2012
173
56
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza tunafanya Programming kwa bei nafuu. Pia kama kasha la funguo limechakaa unahitaji kubadili wasiliana nasi
SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
Website:www.wakudesahrt.com
53b39ba7f4d08452aa1f6ea34464b950.jpg
67e07208aa1be6ce2e9656204654f2a4.jpg
 
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk.Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza, au kama kasha la funguo limechakaa unahitaji kubadili (kwa cover za funguo original bei ni TSh 55000)wasiliana nasi 0714704097.
Mi nataka smart key bei gani?
 
security ya huduma hii ikoje? Haiwezi kutumika na kina ndugu jambazi kwa manufaa binafsi?
 
security ya huduma hii ikoje? Haiwezi kutumika na kina ndugu jambazi kwa manufaa binafsi?

Hapana,maana kuprogram funguo inahitaji kutoa baadhi ya bifaa kwenye gar,na kuna limit ya funguo kua programmed kwenye gari. Pia unapo fanyia programming funguo moja,mtu mwenye funguo inayofanana na yako hawez kuwasha gari,ni funguo iliyoprogramiwa kwenye gari tu ndo itafanya kazi
 
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk.

Kama umepoteza funguo ya gari inayotumia sensor(transponder) au unahitaji funguo ya zaida ( Spare key) wasiliana nasi:-
SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom