Wakuu amani kwenu! Kama title ilinavyodadavua, Mimi ni kijana wa miaka 28 (me) Nina shahada ya Elimu ya Saikolojia (hons) ya udsm.
Nimewahi kufundisha part time Tabota TTC, Ekernforde Tanga University, na sekondari kadhaa.
Bila kuwachosha naomba niweke wazi lengo la nandiko hili ni kuomba MTU binafsi au taasisi yenye uhitaji wa mtu wa type yangu, Nipo tayari kufanya kazi ktk taasisi yoyote.
Nafundisha
Nashauri
Natoa nasaha
Pia natafti.
Kwa sasa namalizia kuandika kitabu cha "Falsafa na Saikolojia ya Malezi"
Kwa mwenye uhitaji asisite kuni pm ili tupeane mawasiliano. Asante