Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

HABARI WAPENDWA NINAUZA UNGA WA LISHE MCHANGANYIKO WA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA UNAFAA KWA UGALI NA UJI PIA.BEI NI RAHISI KWA MAWASILIANO 0754621792.KARIBUNI
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nina nyumba ambayo bado haijaisha ipo kwenye ujenzi lakini naikodisha. Ni nyumba ya gorofa ina vyumba 2 moja ni master na ina sebule, jiko, choo,bafu na store. Pia ina eneo la wazi (kiwanja)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu, Mwezi July natarajia kuanza kazi jijini Arusha kwa mkataba wa miezi 10. Nimejiwekea utaratibu wa maisha kiafya kuwa kila weekend huwa naenda gym na baada ya kutoka gym...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wanabodi, Msimu wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, SABA SABA, umewadia, mimi mwana JF mwenzenu, Paskali Mayalla, kupitia kampuni yangu ya PPR, huwa ninarusha vipindi vya...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
HABARI WAPENDWA NINAUZA UNGA WA LISHE MCHANGANYIKO WA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA UNAFAA KWA UGALI NA UJI PIA.BEI NI RAHISI KWA MAWASILIANO 0754621792.KARIBUNI
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naitaj msaada kwa mtu anaemjua fundi wa kujenga ukumbi wa makuti ani PM namba yake,natanguliza shukran
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kwa mwenye uelewa wa soko la Pilipili Mbuzi tuwasiliane ziko SHAMBANI nimeanza kuvuna kidogo.
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia ulipo. FARMRICH...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna vitu hivi; -Sofa moja la watu wawili -Meza ndogo -Kitanda na godoro -Subwoofer ndogo, full na kila kitu chake hadi box -Dressing table -Decoder na ungo(dstv) Vyote nafanya 600,000 tu bei ya...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Safari ita anzia Ubungo, Dar es salaam, Ijumaa ya tarehe 7/7/2017 na kurudi jumapili 9/7/2017. Gharama kwa mtu mmoja ni 230,000/= na 210,000/= kwa watu wawili. Gharama hii imejumuhisha Kiingilio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1 DAY OLD CHICKS/ VIFARANGA VYA SIKU MOJA. Kwa wafugaji serious... Viko 400 tu. Tupo Dodoma mjini ni vifaranga Chotara kwa ufugaji wa kuku wa mayai ya Kienyeji. Tuwasiliane 0755212988 /0754595780
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Bila shaka ndugu msomaji uko mzima wa afya. Nipo mwz na nina toyota runx ambayo ipo mbichi sana ie file ya gari,low milleage na service ya kueleweka. Nimehamia kwenye barabara ya off road sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jipatie kabati za plastic za watoto kwa bei po kabisa na unaletewa mpaka nyumbani buree pia tutakufungia buree kwa wateja wa dar Malipo mpaka upate mzigo wako Droo 4 ndogo tsh 75,000 Droo 4 kubwa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Make : BMW Model : X5 (FA30N) Mileage : 98,945km Engine size: 2,990cc (36 06S) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD M/Year ...
1 Reactions
2 Replies
822 Views
Wapenzi wa riwaya za kipelelezi za Marehemu Mzee musiba, Leo kitabu chake cha HOFU kimetoka sh 10,000. Fika Kariakoo kwa wauza magazeti na vitabu. Pia KIKOSI CHA KISASI bado kipo. Nawatakia kazi njema
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Make : Nissan Model : TIIDA LATIO Mileage : 62,914km Engine size: 1,490cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2005 Doors : 4 Seats...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom