NATAFUTA SOKO LA PILIPILI MBUZI

NATAFUTA SOKO LA PILIPILI MBUZI

sunchez

Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
68
Reaction score
23
Wadau kwa mwenye uelewa wa soko la Pilipili Mbuzi tuwasiliane ziko SHAMBANI nimeanza kuvuna kidogo.
 
Umelimia wapi?je umelima pilipili ya aina gani?ongea na jamaa wa buguruni sokoni,kisutu sokoni,kariakoo sokoni ujue kwanza bei iliyopo....kbla ya kuwapelekea mzigo

Ova
 
Tupia picha ya shamba lako kuonesha mazao yaliyonawiri na je pilipili ukivuna unazihifadhi katika vifuko / vifungashio bora tupige mnada katika soko la dunia ?

Packaging n Labelling (Umuhimu wa vifungashio ili kupata bei ya juu zaidi)

Source: pius pius
 
Unaweka hata picha ya product yako mbona watz mnafeli sana kwenye marketing.Yaani unatoa post as if siyo yako umetumwa kumbe ndo uko serious na umemaliza.
 
e57e2b594d4e08d8270f41faddebbf8e.jpg
 
Vipi hauzalishi PILIPILI KICHAA...!!

Maana hizo ndio chaguo la kwenye HOTEL/RESTAURANT
 
Tupia picha ya shamba lako kuonesha mazao yaliyonawiri na je pilipili ukivuna unazihifadhi katika vifuko / vifungashio bora tupige mnada katika soko la dunia ?

Packaging n Labelling (Umuhimu wa vifungashio ili kupata bei ya juu zaidi)

Source: pius pius

Nahifadhi katika viroba tu mkuu kama ni swala la soko la kimataifa ni swala la maandalizi tu kama litapatikana basi tutajipanga Kwahivo kwa vifungashio vinavo endana na soko la nje.
 
Unaweza kutupa kidogo BEI, Kutokana au kutofautiana na Package.?

Mfano bei kwa kilo moja ama kwa Kiroba.

Pia ungejieleza kidogo namna ya kukupata...(ki-biashara zaidi)
 
Bei kwa sasa kwa kiroba cha ndoo 5 za Lita 20 nauza 70 elfu. Mawasiliano hayo hapo 0788111541
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom