SOLD: Nauza vitu vya ndani, kigamboni

Status
Not open for further replies.

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,056
2,000
Kuna vitu hivi;
-Sofa moja la watu wawili
-Meza ndogo
-Kitanda na godoro
-Subwoofer ndogo, full na kila kitu chake hadi box
-Dressing table
-Decoder na ungo(dstv)
Vyote nafanya 600,000 tu bei ya hasara maana nataka kuhama, chumba pia kipo kwa atakayehitaji utaongea na mwenye nyumba(chumba na sebule na choo ndani). Unaweza kuchukua kimoja wapo au viwili tutaongea bei ukiviona.

NB: Sina smartphone kwasasa nashindwa kupiga picha ila kwamaelezo zaidi njoo kigamboni uvione .
 

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
2,718
2,000
Picha muhimu mkuu. Picha moja hujibu maswali elfu kadhaa.

Dressing table bei gani?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom