Nyumba inapangishwa Arusha - Sanawari

Nyumba inapangishwa Arusha - Sanawari

Emaoi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
307
Reaction score
235
Wadau nina nyumba ambayo bado haijaisha ipo kwenye ujenzi lakini naikodisha. Ni nyumba ya gorofa ina vyumba 2 moja ni master na ina sebule, jiko, choo,bafu na store. Pia ina eneo la wazi (kiwanja) kwa watoto kucheza. Ni eneo zuri lenye fence kwa wale wanaotafuta pakufanyia biashara haswa DAY CARE au BAR. Ipo Arusha maeneo ya sanawari ya Juu kwenye barabara za ndani ndani ni eneo lenye utulivu. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutembelea au kupiga simu namba 0789 543 339. Kodi ni ya mwaka bali kuna maelewano kwani unaweza kuchukua nyumba ya chini ukaacha ya juu au ukakodisha jengo zima. Tafadhali muhabarishe na rafiki yako mwenye kuhitaji. Kodi ni maelewano
 
weka bei mkuu kabla ya kupiga simu,ukitaka ya juu bei gani na ukitaka ya chini bei gani??
 
Wadau nina nyumba ambayo bado haijaisha ipo kwenye ujenzi lakini naikodisha. Ni nyumba ya gorofa ina vyumba 2 moja ni master na ina sebule, jiko, choo,bafu na store. Pia ina eneo la wazi (kiwanja) kwa watoto kucheza. Ni eneo zuri lenye fence kwa wale wanaotafuta pakufanyia biashara haswa DAY CARE au BAR. Ipo Arusha maeneo ya sanawari ya Juu kwenye barabara za ndani ndani ni eneo lenye utulivu. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutembelea au kupiga simu namba 0789 543 339. Kodi ni ya mwaka bali kuna maelewano kwani unaweza kuchukua nyumba ya chini ukaacha ya juu au ukakodisha jengo zima. Tafadhali muhabarishe na rafiki yako mwenye kuhitaji. Kodi ni maelewano
Biashara ya nyumba zimeanguka sana katika utawala huu wa awamu ya Tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom