KAZI KAZI KAZI

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Wapendwa za Jioni, natafuta vijana waliosharp kwa ajili ya kazi ya kuuza Ice cream, Juice na maji mashuleni. Mshahara ni usharp wa kijana tu. Akiuza sana na ujira utakua mkubwa pia.

Maeneo ni mbezi mwisho mpaka kimara.

Kwa aliyenaye au anamfaham mtu naomba NI PM
 
Bandiko hili hatujaliona kabisa. Labda lingekuwa la waiti kola jobu
 
Wapendwa za Jioni, natafuta vijana waliosharp kwa ajili ya kazi ya kuuza Ice cream, Juice na maji mashuleni. Mshahara ni usharp wa kijana tu. Akiuza sana na ujira utakua mkubwa pia.

Maeneo ni mbezi mwisho mpaka kimara.

Kwa aliyenaye au anamfaham mtu naomba NI PM
Fanya hivi, nenda kalichapishe stationary hili tangazo kisha ulitoe photocopy nyingi ulibandike kwe nguzo na mabango barabarani itawapata wengi, ila humu watu hawalioni kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom