Kuvunja runx (DJQ) na harrier old model

Kuvunja runx (DJQ) na harrier old model

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
167
Bila shaka ndugu msomaji uko mzima wa afya.
Nipo mwz na nina toyota runx ambayo ipo mbichi sana ie file ya gari,low milleage na service ya kueleweka.
Nimehamia kwenye barabara ya off road sasa waomba lift ni wengi nilikuwa nataka nivunje na mtu mwenye harrier old model ya kuanzia namba Dh...nipo tayari kuongeza mkwanja kidogo kulingana na hali ya ndinga husika
Nashukuru na karibu kwa maoni
 
Back
Top Bottom