Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Vipi Mambo! Je una APP file (apk) na ungependa ku list katika Google play? NITAKUSAIDIA Mimi namiliki Google Developer akaunti ambayo ni trusted by Google GOOGLE HUCHAJI 25$ Kuchapisha App ktk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kama kuna mwenye anauza CPU nahitaji kwa bajeti ya 150K
0 Reactions
3 Replies
666 Views
Asslaam ,,,karibuni kuna viwanja viwili kimoja kipo ENGOSHERATON karibu na lami mpya ya murieti ni 15kwa20 bei nzuuri sana ..kingine ni kama heka 1sokon one kipo barabarani lami unaweza fungua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuwa na website imekuwa rahisi kiasi kwamba mtu yoyote kama anamuda wa kufanya research kidogo basi haitamtumia zaidi ya siku moja ya kusoma na kubonyeza button chache ili kufungua website yake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam! Mali iko tayari mzigo ni kwa bei ya jumla na reja reja kwa madalali na watumiaji wa mwisho. Kitalu kizima kinachotoa viroba 18-20 vya kilo mia bei ni 1600000 Kilo moja 1Kg ni shilingi 700...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ..nina hitaji simu kwa bajeti hiyo iliyopo juu hapo..tafadhar iwe ni Sumsung,Sony,htc,au Sony Ericson. Kama unayo weka pic na specification zake tufanye biadhara..nyingine...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari natafuta chumba cha kupanga Kiwe self maeneo ubungo makubuli DAR
0 Reactions
0 Replies
803 Views
mi nna nyumba naiuza ipo musese kisarawe unaingilia kongowe toka kongowe mpaka huko,Ni 20KM ipo center na Kuna makaz ya watu,imepauliwa nusu ,Ina chumba cha kulala,sitting room,kitchen,choo...
0 Reactions
4 Replies
986 Views
Salamu wadau! Naomba tujuzane hali ya soko la Karanga kwa sasa pamoja na upatikanaji wake Maeneo mbali mbali ya Jamhuri yetu. Kwa wajuzi naomba watuwekee na bei, na pia wabainishe kama hiyo bei...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Linapatikana maeneo ya Temeke,bei ni sh. Mil 1,melewano yapo Zaidi na zaid nicheck PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Alphard (MNH10W) Mileage : 84,023km Engine size: 2,990cc (1MZ) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jumapili wapendwa?.................... Nakusanya kibubu na mimi nijiajiri,......................... Biashara ninayotaka kuifanya; ni ya kuchapisha matangazo,ya kawaida sio yale...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Wasalaam wana forum, kwa mahitaji ya Nyumba, kiwanja na mashamba! Usisite kuwasiliana nami! Viwanja na nyumba zipo kwa bei tofauti tofauti kulingana na uhitaji wako, kama upo interested kwa maeneo...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe! Ijumaa tar 7.7.17, tunakabithi Kwa BWANA nusu ya kipande kilichobaki cha huu Mwaka. Ili Mungu atuvushe na atushindie magumu yote. Ni Pale Princess Hall-Sinza Mapambano Saa 10...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Kama hichwa cha thread kinavyojieleza,Kuna rmtu anauza plot yake ya ft 50/60 ambayo tayari ina mabanda ya uhani (vyumba vitatu) kwa Tsh Million 10. Nyumba ipo eneo zuri na site haina...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari wakuu, Mimi ni mwajiriwa wa sekta binafsi Hapa Dar. Kuna emergency nimepata (family related). Nahitaji mkopo wa 350,000/, marejesho ni baada ya siku 30. Sina collateral yoyote zaidi vitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ina Chumba Choo na Sebule. Bei Tsh laki 2 kwa Mwezi. Kodi ya Miez Sita. Nyumba itakuwa wazi mwezi ujao, Nyumba Ipo mbezi beach. Note: Mimi Sio Dalali
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Wapendwa za Jioni, natafuta vijana waliosharp kwa ajili ya kazi ya kuuza Ice cream, Juice na maji mashuleni. Mshahara ni usharp wa kijana tu. Akiuza sana na ujira utakua mkubwa pia. Maeneo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu nauza shamba la heka 5 bei milioni 2,lina mihogo heka 3,minazi 80, na miembe 20 na kuna eneo kubwa limepandwa mahindi ya muda mfupi...Shamba lipo KIBITI maelewano yao
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom