Kwa Tz publishers wanaotaka kupata traffic kupitia fb nauza facebook page yenye 52k likes.
Bei maelewano.
Pia mwenye page above 800k likes na anauza tuwasiliane
Aliye tayari ani inbox
M.Byabato
Habari za jioni ndugu
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa kuna kiwanja kizuri kabisa kinauzwa kwa ajili yako
Kiwanja kipo Goba, eneo ni zuri kwa wewe utakayependa kujenga sehemu ya...
Wasalaam wakuu,
Nipo Dar es salaam, nahitaji kuku kwa wingi hasa majogoo ya kienyeji (siyo chotara).
Kwa mwenye nayo aniPM hata kama ni Mkoani tutaangalia namna ya kusafirisha.
Habari za asubuhi
Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi
Asanteni
Habari za Jioni WanaJF,
Napenda kuwashukuru wanaJF kwaajiri ya michango yenu mbalimbali hapa kwenye forum ya kitanzania na East Africa kwa ujumla, pia Napenda kuiambia jamii ya kitanzania kuwa...
Jiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa...
Ikiwa wewd n mtaalam wa kutengeneza matangazo ya biashara,, kwa ajili ya tvs na radio... Pia kupromote.. Mitaani.. Tafadhali nipim.. Nikupe mchongo.. Pesa nje nje
Gari aina ya CarinaTI inahitajika.
iwe namba D.
iwe rangi ya Dark blue, red, dark green au maruni. isiwe nyeupe au silver.
isiwe na mstari.
Iwe katika best condition ( imenyooka No dents)
iwe...
Habari wanajukua, natafuta godoro ya vitafoarm au spring mattress. Kama kuna mtu anajua haya magodoro yanauzwa wapi kwa bei nafuu anisaidie.
Nipo dar.
Natanguliza shukrani
Shambani Market kwa kushirikiana na lishe kwa mtoto na afya.
Angalizo:
1. Sifahamu vizuri lugha ya kiswahili
2. Tangazo hili ni maalum kwa watu/wazazi wenye watoto wa umri miezi 6 na kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.