Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mambo! Nauza simu tajwa kwa bei simple. Ina support 4G internet pamoja na sd card ya 16GB (ukiondoa internal storage yenye 8GB). Nipo Dar. Call: 0688 20 02 77
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bati za migongo midogo za rangi Rangi:kijani,blue,red,maroon,chocolate na sky blue Gauge 30 Bei: 21,000/= bati moja la 3meter 336,00/= bundle moja la piece 16 Call: 0656-816616...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Natafuta Inks za kuprint T-shirt's ziwe na quality nzuri kama unauza naomba unifahamishe na bei mimi niko Dar.
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Mwenye vifaa vya chips used kama vile kabat,na vinginevyo tuwasiliane pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunashoot nakutengeneza vedios pamoja na picha kwenye maharusi, send off, kitchen party, graduations na sherehe mbalimbali, tuna Offer kibao kwa watakao hitaji huduma zetu, bei zetu ni nafuu sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kuliza bei ya alizeti sa hvi imefika sh ngapi hapo mkoani babati
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Nina s6 duo.. nimetumia kwa muda wa miezi 9 sasa but iko na good condition. Kama kuna mtu mwenye s7 edge isiyo na crack kabisa, good looking, na yuko tayari ku exchange nami na top up tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Habari wakuu. Nina uhitaji mkubwa wa mashine tajwa hapo juu. Nahitaji zinazotumia umeme. Naomba kwa wauzaji waliopo Arusha/Moshi ili kuokoa gharama za usafirishaji. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MASHINE ZA KUSAGIA NYAMA ZISIZOTUMIA UMEME Tunauza mashine ya kusagia nyama,inasaga nyama kwa urahisi sana na zinatoka vizuri Zipo tofauti zinatofautiana kwa ukubwa Saizi ndogo kabisa (D8) ni...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari zenu wakuuu.. Napenda kuwatangazia tunauza mashine kubwa mpya na imara za kusagia nyama. Hazitumii umeme,ni nguvu yako ya mkono wako tu Hizi ni saizi kubwa D32. Zinasaga nyama zinakuwa...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
Wakuu habari Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana. Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana. Bei tzs 3,950,000.00 Call 0658 554 992
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu natafuta jiko la kitimoto katika bar iliyochangamka maeneo ya kimara mpaka mbezi...msaada tafadhali wakuu
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari zenu wadau nauza nyumba iliyopo maeneo ya mbagala mwanamtoti nyumba ina vyumba vitatu bei ni million 75 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715377241 picha nazileta.
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Namba ufafanuzi wa kampuni inayoitwa VIGUTA wamesema wanatao huduma ya kukujengea nyumba kwa gharam tofaut. Namba ufafanuz kwa wanao Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama unahitaji nguo za kike jumla na Rejareja kwa Dar Unaletewa hadi ulipo mkoani unatumiwa ukipenda unalipia tupigie 0713 114394
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nikon D300s inauzwa pamoja na lens mbili 18mm hadi 135 na nyingine 55 hadi 300, ina photogrip,charger moja na betri moja bei 1,500,000
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Nahitaji external dvd driver kwa ajili ya laptop. Nipo korogwe-tanga ,.
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Coffee plantation for sale with plantation= with title deed == price is negotiable== location east Africa Tanzania we have small scales plantation we have larger scales plantation for sale and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haloo,kwa wana Jf ninahitaji laini mbili za uwakala wa Mpesa kwa mwenye nazo anicheki kwa namba zifuatazo hapa chini 0753263069 Niko kagera,wilaya ya kyerwa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom