Habari za jioni ndugu
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa kuna kiwanja kizuri kabisa kinauzwa kwa ajili yako
Kiwanja kipo Goba, eneo ni zuri kwa wewe utakayependa kujenga sehemu ya makazi yako. Linapendeza na majirani wako ni watu wazuri sana. Naamini utafurahi kuanzisha makazi yako hapo
Ukubwa wa kiwanja ni 30 x 30 m.
Bei ya kuanzia ni 25 M lakini maelewano ni kati ya wewe na muuzaji.
Muuzaji ni muelewa, atakusikiliza
Ukipenda kununua usisite kuwasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255 784 307 401 au +255 715 307 401
Tafadhali pitia picha za kiwanja hapo chini
Karibu sana