Nahitaji Majogoo ya kienyeji.

Nahitaji Majogoo ya kienyeji.

m-Mwamba

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
8
Reaction score
4
Wasalaam wakuu,
Nipo Dar es salaam, nahitaji kuku kwa wingi hasa majogoo ya kienyeji (siyo chotara).
Kwa mwenye nayo aniPM hata kama ni Mkoani tutaangalia namna ya kusafirisha.
 
Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida?
 
Unataka majogoo kwaajili ya nyama au kufuga? Majogoo ya aina ipi, kuchi/singamagazi/ching'weke au hawa wa kawida?

Akikujibu nami ntakuja mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom