Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Habari za asubuhi
Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi

Asanteni
 
Habari za asubuhi
Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi

Asanteni
unataka kuitumia maeneo gani DSM au mikoani
 
Budget ndogo mnoo.
Hesabu yako ni ya Bodaboda kwa mwezi
Weka 400,000 uletewe Brand New Kibongo from Dubai.Nikuletee lawyer wangu end of Month uanze kazi

Maana haijulikani kazi gani
 
Habari za asubuhi
Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi

Asanteni
Sawa mura, sasa yenye *Hari* nzuri sina ninanayo yenye *Hali* nzuri .

"Dont take Jf Serious Usije nishushia mapanga ya online Muraa .. "
 
Budget ndogo mnoo.
Hesabu yako ni ya Bodaboda kwa mwezi
Weka 400,000 uletewe Brand New Kibongo from Dubai.Nikuletee lawyer wangu end of Month uanze kazi

Maana haijulikani kazi gani

Mkuu kwa faida ya watu wengine pia hebu weka maelezo yawezekana ikawa good option

Nataka kuitumia hapa hapa Dar Temeke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom