Fursa ya selcom

Fursa ya selcom

Joined
Sep 10, 2017
Posts
7
Reaction score
18
Jiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa maongezi unarudishiwa asilimia4 unarusiwa kufanya miamala yakipesa

UKIHITAJI INGIA INBOX KWANGU
AU WASILIA NAMI KWA NAMBA HII:
0784-139-052
Au tumia what's app kwa kutuma namba hii:

0677281669
 
Selcom inausu nini hasa? Samahani kwa swali Tafadhali,lakini naitaj fahamu plz
 
Kwa hiyo kwa Tshs 5000 naweza fanya huduma zote hizo? Natakiwa kuweka mtaji wa shilingi ngapi kama kianzio. Tafadhali naomba majibu
 
Jiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa maongezi unarudishiwa asilimia4 unarusiwa kufanya miamala yakipesa

UKIHITAJI INGIA INBOX KWANGU
AU WASILIA NAMI KWA NAMBA HII:
0784-139-052
Au tumia what's app kwa kutuma namba hii:

0677281669
Acha utapeli Mkuu, ushastukiwa kama kampuni wanakufuatilia na utakushughulikiwa, Fanya kazi halali mdogo wangu..
 
We unafanya ujanjaujanja,hyo 5000 gharama ya nini? Mbona ni bure mkuu.
 
c576c1535afa80e3df5721bf0ee290d7.jpg

Angalia huo nimemunga mie sijawahi kuwa tapeli hata siku moja
Mkuu Si uende UKALIME? mbona unafanya utapeli kiasi hicho. hakuna Adress ya aina hiyo mkuu..na nyie si ndio mnasambaza sauti( AUDIO) Kuhusu utapeli wenu huo...ni swala la mda tu..kuna wenzako wameshashughulikiwa leo hii..NCHI HAIWEZI ENDESHWA KWA UJANJA JANJA WENU Kijana!!!
 
0e670d2a3aa258438982b112dca7af62.jpg

Hii nini jama mie sio taperi brother
Hyo elfu tano inaenda wapi? Mchanganuo wake ukoje? Kama ww ni agent hyo pesa inalipwa kupitia mfumo gan utakaoniridhisha? Hapo naona app, vipi nikihtaj kuw agent kwa zile mashine zao utaratbu ukoje?
 
Ninachotaka kujua itatoa na receipt kuwa umelipia Tshs 5000 na VAt yake kama ambavyo inafanyika kwenye ujumbe wa simu baada ya kununua muda wa maongezi. Pili unatumaje hiyo hela kwako au kwa kutumia 150 number.

Huko kwako unakuja ujumbe wa kwamba welcome to selcom
 
embu eleza vizuri hiyo 5,000 ni ya kwako tu Selcom hawaijui au? tunalipia kujiunga kwenye selcom ya simu kama unavyoeleza bila kupata EFD receipt?
Toa maelezo yaliyonyooka hapo
Mkuu we ni askari?? Maana umembana c kitoto[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
We jamaa ni tapeli acha kutaka njia ya mkato.

Ni hivi hicho kitu yeyote anaweza fanya ingia PLAYSTORE search SELCOM idownload hiyo app then fuata maelekezo ya kujisajiri na utaona mpaka maelekezo jinsi ya kuongeza salio kwa mitandao yote. Tena nakushauri ukiongeza salio tumia airtel makato kidogo tofauti na tigo na Voda.
 
Kumbe mzigo unapatikana freely kabisa [emoji15] [emoji15]
 
Jiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa maongezi unarudishiwa asilimia4 unarusiwa kufanya miamala yakipesa

UKIHITAJI INGIA INBOX KWANGU
AU WASILIA NAMI KWA NAMBA HII:
0784-139-052
Au tumia what's app kwa kutuma namba hii:

0677281669
Mi naomba nifahamishe commission ya hizo Huduma za malipo kwenye selcom kama luku,dstv,m-pesa n.k
Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom