Gari carina TI inahitajika

Gari carina TI inahitajika

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
695
Gari aina ya CarinaTI inahitajika.

iwe namba D.
iwe rangi ya Dark blue, red, dark green au maruni. isiwe nyeupe au silver.
isiwe na mstari.
Iwe katika best condition ( imenyooka No dents)
iwe haijarudiwa rangi
iwe haidaiwi (full vibari)

km unayo, Hela ipo nzuri!...ni PM au nichek kwa email: vieloon@gmail.com

madalali hawatakiwi...mimi ndio dalali wa mwisho, ukiforce udalali jua utakula kwa muuzaji.
 
ninayo carina Ti nzuri namba DH mil 9 picha kwa namba 0714787795 hapa pia nitaziweka nasubiria picha
 
556c697150d44486be47af11ad655782.jpg
73bbb5c298c01c7e58808747a509b8f6.jpg
 
Nina vista ipo mkuu.!
Number c
Engeen iko vizuri
no kupigwa puti
In short it has good conditions
Price 5m only
weka tupicha mkuu...niaiponunua mimi hata mwingine anaweza kushawishika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom