Nahitaji mashine ya kufyatulia tofali

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,088
423
Habari,

Naomba kuhabarishwa kuhusu gharama ya mashine ya kufyatulia tofali za inchi 4,5 na 6.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu
 
Mkuu uko wapi?
Hujafafanua, kuna mashine za tofali moja na kuendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom