Kwa mtu yeyote yule anahitaji kudeal na mobile financial services kupitia line za M-pesa tafadhali wasiliana nami kupitia no. 0768 399 069 nina line za mpesa naziuza kwa bei nafuu.
Nyumba ipo barabarani kabisa (Maguruwe road) kitu ambacho kinaifanya iwe nzuri kwa biashara.
Unaweza ukatengeneza frame za kukodisha au kutengeneza biashara ya parking ya magari au biashara...
Ipo katika hali nzuri ,ina mwaka mmoja toka inunuliwe haina tatzo lolote ,ninauza sababu nina tatzo na hela kidogo ,simu ipo dodoma kwa mawasiliano tuma sms kwenye 0692477837
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
Ndugu wana jf, ninaomba kuwauliza wale wa taalum au wanafahamu ni panel gani iliyo bora kwa matumizi ya nyumbani? ikiwemo kutumia kwenye jokofu, kiyoyozi nk.
naomba msaada wenu nitavipata wapi na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza asali asilia kutoka Tabora kwa bei nzuri nyuki wadogo lita 30,000 nyuki wakubwa lita 10,000 napatikana dar es salaam maeneo ya changanyikeni kwa...
nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu...
Wakuu nahitaji freezer iwe mpya au used lakini isiwe na tatizo lolote lile. Bajeti yangu ni 300000 lakini iwe mwanza au musoma. Kama kuna mwenye nayo anicheki kwa 0758652954
Habari ya leo Wadau?
Nakuja kwenu kuomba anayefahamu anielekeze mahali ninakoweza kupata mbegu ya mpunga itwayo KOMBOKA, au nyingine yoyote ya kisasa/chotara (hybrid) ambayo ninataka kuitumia kwa...
Nyumba kwa ajili ya Makazi ya familia ipo sokoni,
inapatikana maeneno ya Chanika buyuni.
Kiwanja kimepimwa Na kina ukubwa Wa Sqm 660 document zote zipo
Ina jumla ya vyumba vitatu, viwili Ni self...
Habari wanajukwaaa.
Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite...
Kama unayo naomba unitumie picha na uje...
Redeem Insurance Agency ni kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma mbalimabali za Bima.
Pata huduma zetu mbalimbali za bima na ushauri bure kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye masuala ya bima...
Ni mafundi na wataalam wa sofa aina zote za chuma na za mbao, vitanda vya mbao, chuma na sofa, meza za mbao na sofa, makabati, pia tunarepair sofa aina zote
0719532007
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.