Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, naomba msaada wa maelekezo na maelezo kwa anayejua duka la nguo nzuri za watoto wa kiume hapa dar kati ya miaka 3-6 na price zake kama zinafahamika!! au kama kuna mtu anauza pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza i phone 6 16gb kwa laki 6 maongezi kidogo yapo... Imetumika miezi nane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hali imebana natafuta gari RAV4 nina milioni 4 tu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ingia hii link E-currency exchanger listing, best rates from reliable exchangers then ikifunguka nenda affiliate program then shuka chini kidogo utaona neno register bofya baada ya hapo jaza...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari wana bodi? Kama kuna mtu ana hitaji kitu chochote kinachopatikana kwa urahisi na bei nafuu katika mataifa ya Russia na Ukraine, tafadhali aje PM. Atanunuliwa mzigo wake na kuletewa hadi...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunauza nguo za watoto za mtumba za ukweli, Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari. Husika na kichwa cha habari. Nauza bajaj used. Ipo kwenye hali nzuri kabisa. Bei ni 3.5mil. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba Inapangishwa Ipo Mwenge Kanisa La Rc Karibu Sana Na Bamaga Na Afrikasana Ni Vyumba Viwili Vya Kulala Sebule Jiko Choo vyote Ndani Na Parking Ipo N Ndani Ya Geti Tuwasilian
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejaribu kufuatilia bei za viwanja na nyumba Jf na ktk mtandao fulani maarufu wa kuuziana vitu na nimegundua kuwa bei za nyumba huko kidogo zipo chini sana, mathalani, unakuta nyumba ya vyumba...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama unachochote au hata kwa jirani au rafiki usije ukakiona kidogo au kibaya kunawengine wana kitafuta hicho Hivyo tualifu na tutakifuata ili tuchanganye na vya wengine, kisha tutatangaza siku ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Haya jamani usiweke tv kwenye stuli ni hatari kwa kwako na mandhari ya sebule jipatie stendi kwa 70000 napatikana bondeni karibu na tangi bovu wahi kabla cjasombwa na maji mm na stendi...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Toyota crown TZS: 14,000,000 Harrier TZS: 15,000,000 Mawasiliano 0754741162
1 Reactions
3 Replies
3K Views
TOYOTA PORTE YEAR: 2005 ENGINE CC: 1298 COLOUR: BLACK NUMBER: DGF BEI: MIL 7.5 Mawasiliano: 0717760515
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari ya leo Wadau? Nakuja kwenu kuomba anayefahamu anielekeze mahali ninakoweza kupata mbegu ya mpunga itwayo KOMBOKA, au nyingine yoyote ya kisasa/chotara (hybrid) ambayo ninataka kuitumia kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
INCHI 22 INA USB PORT, HDMI, EARPHONE PORT, DC AND AC ELECTRICITY 210,000 DSM HAINA TATZO LOLOTE BALI NATAKA CHUKUA 32 INCHI SERIOUSLY BUYER ONLY 0787 429 104. MBEZI LUIS.
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Tunakodisha na kuuza magauni ya harusi na sherehe mbalimbali kama send off,bei ya kukodisha ni tshs 250000 na kuuza ni tshs 450000.Napatikana Tabata magengeni kwa mawasiliano 0659274118.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Asali mbichi toka mkoani Tabora ya nyuki wakubwa.bei ya lita moja ni tshs 10000 na lita tano ni tshs 45000,napatikana Ukonga -Dar es salaam.mawasiliano 0655030711.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bei ya mahindi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Nauza kiwanja kipo Tegeta Boko, DAWASCO, upande wa pili wa bahari kwa juu. Kimepimwa na serikali, imebaki kulipia na kupata hati miliki. Unaweza kwenda kujiridhisha kuwa kiwanja kipo safe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom