Watu wa ATL

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
Hivi nani keshafika kwenye club ya The Foxy Lady Lounge ? nimepewa sifa zake na nimeona videos kwenye youtube
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
9,098
2,000
sasa sisi tuliopo bongo jamani tuseme nini?

BTW Brazameni mbona umetutosa kule ukumbini?
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
Uliona videos za Cheetah nini?

Daym man...yaani watu wa JF huwa mnanimaliza kabiosaa

anyway ni kweli yaani ile vid so mchezo

halafu nimeambiwa kuwa ATL nyama ni nje njee yaani kama unamsukuma mlevi vile

@
Mtu wa Pwani

kuna jamaa anaiba video zangu kisha anazipost kwenye sites za nyama za kibongo

halafu wwee naye umezidi unataka kuniambia video zote ushazimaliza?

inamaana ushaua watoto zaidi ya milioni

basi tuliza balll nitadrop mambo maypa soon
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583

Ile kitu niliiona duh ilikuwa si mchezo....!!! duh mzee na wewe unaown joint kama hiyo au ni vipi? Hivi bongo wanaruhusu kufungua club ya design hii?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom