Habari zenu wandugu, Naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kati ya mashine tajwa hapo juu ni ipi nzuri. Sehemu ninapotaka kuiweka concern kubwa ni LUKU customers maana sio mjini sana. Naomba mwenye...
Habari wakuu, Friji kubwa na nzuri na bado mpya inauzwa. Upande mmoja fridge mwingine freezer pia INA water dispenser. mwenyewe anahama nchi ndio sababu ya kuuza.
1.2m
IPO tabata kinyerezi...
Karibu muwekeze kwenye kilimo na miti. Shamba langu nauza linafaa kulima viazi mvingo, mahindi,njegere, ngano na kupanda miti kama mipaina,milingoti na mibani.ukitaka eka moja au zaidi sawa,bei...
Habari wadau, naomba msaada wa maelekezo na maelezo kwa anayejua duka la nguo nzuri za watoto wa kiume hapa dar kati ya miaka 3-6 na price zake kama zinafahamika!!
au kama kuna mtu anauza pia...
ingia hii link E-currency exchanger listing, best rates from reliable exchangers then ikifunguka nenda affiliate program then shuka chini kidogo utaona neno register bofya baada ya hapo jaza...
Habari wana bodi?
Kama kuna mtu ana hitaji kitu chochote kinachopatikana kwa urahisi na bei nafuu katika mataifa ya Russia na Ukraine, tafadhali aje PM.
Atanunuliwa mzigo wake na kuletewa hadi...
Tunauza nguo za watoto za mtumba za ukweli, Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba...
Nyumba Inapangishwa Ipo Mwenge Kanisa La Rc Karibu Sana Na Bamaga Na Afrikasana Ni Vyumba Viwili Vya Kulala Sebule Jiko Choo vyote Ndani Na Parking Ipo N Ndani Ya Geti
Tuwasilian
Nimejaribu kufuatilia bei za viwanja na nyumba Jf na ktk mtandao fulani maarufu wa kuuziana vitu na nimegundua kuwa bei za nyumba huko kidogo zipo chini sana, mathalani, unakuta nyumba ya vyumba...
Kama unachochote au hata kwa jirani au rafiki usije ukakiona kidogo au kibaya kunawengine wana kitafuta hicho
Hivyo tualifu na tutakifuata ili tuchanganye na vya wengine, kisha tutatangaza siku ya...
Haya jamani usiweke tv kwenye stuli ni hatari kwa kwako na mandhari ya sebule jipatie stendi kwa 70000 napatikana bondeni karibu na tangi bovu wahi kabla cjasombwa na maji mm na stendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.