Mikopo ya riba nafuu

Mikopo ya riba nafuu

Nsemwas Junior

Senior Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
173
Reaction score
60
Nina jamaa zangu wana registered microfinance nitakuonganisha nao upate mkopo.Kama mfanyakazi au Mfanyabiashara karibu.

0714-796778
 
Habari wana JF.

Natoa mikopo midogo midogo kaa ajili ya kutatua dharura za kimaisha kwa wale wanaoishi DSM tu.Mkopo unaanzia 50,000 mpaka 300,000.Riba ni 20% tu kwa mwezi.Marejesho ya mkopo huu ni kwa mwezi mmoja au miwili inategemea na mazungumzo.

Dhamana ni simu,desktop computer,laptop,pikipiki,flatscreen tv n.k.Ukimaliza mkopo unarudishiwa mali yako.

Mwenye uhitaji 0714-796778 au whatsapp 0628-615685.
weka vigezo vyako hapa tujue kama tunakopa ama laah
 
Back
Top Bottom