Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

thread closed
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji gari iwe vitz, paso, duet, swift, iwe na hali nzuri na namba kuanzia C. Aliyenayo anipm
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Habari.naomba kupata maelekezo na uzoefu njisi ya kupata samaki wa bwawa ka mtera toka kwa wavuvi. 1.bei 2.gharama km malazi 3.usafirishaji 4.changamoto Thanks in advance
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Price 17 Million Contact 0622-021490 Haina tatizo lolote ni kuwasha na kuondoka.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Je, unajua hapa tanzania kuna blog zaidi ya 5000 na tovuti yaani websites nyingi Tanzania kwa sasa inakuwa kwa kasi kwenye masuala ya mtandao kulingana na ukuaji wa uchumi,biashara na viwanda...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
shamba la miti linauzwa mkoani iringa miti ina miaka minne na nusu bei ni milioni tatu kwa eka mbili NB muuzaji sio mimi
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Habarini wanajamvi.. Naombeni muhusike na kichwa cha habari hapo juu Ndugu Zangu Nauza jengo la nyumba ya kisasa lenye vyumba vinne(4) liliopo maeneo ya mbezi, Goba ,kulangwa Dar es salam...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje...
1 Reactions
5 Replies
903 Views
Mi mkazi wa dodoma,,kuna mashine za kienyeji zimegundulika kwa ajili ya kutotoreshea vifaranga zinapatikana kwa urahisi sana na zinatotoa kwa kiwango kikubwa sana,, Kama kuna mtu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919 WhatsApp. Haijawai kutumika kama bodaboda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
,
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Kibao cha mbuz yeyote mwenye pikipki aina iyo antaarifa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MAKE : Mitsubishi MODEL: Pajero 3 doors BODY TYPE: Station Wagon COLOR: White FUEL: DIESEL ENGINE: 4M40 REG NO : T907 DHZ ENGINE SIZE : 2830 cc MILEAGE : 80200KM TRANSMISSION: Automatic WHEEL...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shamba la miti linauzwa mkoani Iringa miti ina miaka minne na nusu bei ni milioni tatu eka mbili. NB muuzaji sio mimi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fifa 18 mpya sealed haijaguswaa Bei 200,000 Piga 0657228575 Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umewah pita sehem ukakutana na Nyumba nzur inapambwa vizur kwa Urembo na rangi nzur ukawa unaishangaa ...bas dawa ya huo mshangao ni ww kuibadilisha au kuitengeneza ikawa kama ile... Nichek PM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza naipata kwa bei gani Hii printer kwa ajili ya kuprint T-shirt
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Nauza kabati langu... Bei ni shilingi laki 8. Lipo Dar es salaam. Ukitaka unaletewa. Karibuni Mawasiliano 0712504985.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, naitwa Snitch2020 Nafanya biashara ya kuuza kuku wa kienyeji na bei zake ni kuanzia 13000. kuku ni wakubwa na wazuri. Nawatoa Iringa,Dodoma na Singida. kuku nauza kwa order...
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Back
Top Bottom