Offa, nauza kiwanja, bei chee, kipo Tegeta Boko, kimepimwa, ukubwa 400 square meter (20 kwa 20) milioni 16 tu

mama la mama 2

Senior Member
Sep 7, 2017
198
98
Nauza kiwanja kipo Tegeta Boko, DAWASCO, upande wa pili wa bahari kwa juu.

Kimepimwa na serikali, imebaki kulipia na kupata hati miliki.

Unaweza kwenda kujiridhisha kuwa kiwanja kipo safe manispaa ya Kinondoni.

Barabara za mitaa zimechongwa vizuri, maji ya DAWASCO yapo na umeme.

Mawasiliano 0672211602.


cf9e556547b983ef079b047676270f9c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom