Nyumba inauzwa Tandika kwa 65M

Nyumba inauzwa Tandika kwa 65M

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
5,858
Reaction score
2,700
Nyumba ipo barabarani kabisa (Maguruwe road) kitu ambacho kinaifanya iwe nzuri kwa biashara.
Unaweza ukatengeneza frame za kukodisha au kutengeneza biashara ya parking ya magari au biashara yoyote utakayoona inafaa.
Bei ni milioni 65,tuwasiliane kupitia 0689699704
IMG-20171025-WA0000.jpg
 
Kwa picha tu nina shaka na lile tamko la lukuvi
Hupaswi kua na shaka mkuu, vielelezo vyote vipo sawa, haya matukio ya bomoa bomoa yasiwe sababu ya kutuzuia kufanya maamuzi yenye manufaa kwetu,bali ni vizuri yakiwa sababu ya kuongeza umakini wetu kabla hatujafanya maamuzi.
 
Nyumba ipo barabarani kabisa (Maguruwe road) kitu ambacho kinaifanya iwe nzuri kwa biashara.
Unaweza ukatengeneza frame za kukodisha au kutengeneza biashara ya parking ya magari au biashara yoyote utakayoona inafaa.
Bei ni milioni 65,tuwasiliane kupitia 0689699704View attachment 616955
DAR tena tandika alafu million 65 na bara bara Karibu mmmmmh kupambana na watu wa bomoabomoa siwezi
 
hivyo vitu ulivyotaja huwez vifanya kwa kutumia kiwanja hicho hicho?
 
DAR tena tandika alafu million 65 na bara bara Karibu mmmmmh kupambana na watu wa bomoabomoa siwezi
Mkuu Tandika ni eneo ambalo limechangamka kibiashara na tayari kumepimwa na hati pia ipo, hawawezi kubomoa.
 
hiyo nyumba ni mtego atakayenasa shauri yake
 
Katika mizuguko yangu hii nyumba naijua ilipo, mkuu hivi pale ni tandika kweli bora hata ungesema mwembeyanga
 
Ni hatari sana kujenga ndani ya mita 50 za barabara.. Utakufa kwa pressure..

Na hapa Bongo walivo wanafiki unasubiriwa mpaka upake rangi ipendeze ndo wapige X.. Nchi hii nimeshaiogopa ngoja nipige madili mengine kimya kimya .. Ila sio investment za pressure kama hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom