Kwa yeyote yule anayehitaji line za mpesa nitafute

Kwa yeyote yule anayehitaji line za mpesa nitafute

herbsman

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
81
Reaction score
57
Kwa mtu yeyote yule anahitaji kudeal na mobile financial services kupitia line za M-pesa tafadhali wasiliana nami kupitia no. 0768 399 069 nina line za mpesa naziuza kwa bei nafuu.
 
Vp tigo pesa huna mkuu. Mpesa nnayo, plz nifanyie mishe mkuu.
 
Ivi hii kitu ina ukiritimba kuipata?
 
Hajasema ye ni nani, mfanyakazi wa voda authorised au kishoka tapeli. Ni muhimu angeweka wazi anazitengeneza mwenyewe au alinunua nyingi sasa ameamua kuziuza! Maelezo yake yako short-chasis

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama unataka line ya voda pesa nenda katika wakala wa voda utapata au wakala wa togo kwa tigo pesa huu urahisi wa kununua line za kuchonga za watu kuna siku utaweka millioni 5 huko ndani zikombwe zote ukose wa kumdai
 
Back
Top Bottom