Nauza line ya mpesa na tigo pesa

Nauza line ya mpesa na tigo pesa

Goodvision

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
858
Reaction score
467
Heshima kwenu wadau nauza line yangu ya mpesa na tigi pesa,kwa yeyote anayehitaji tafadhali naomba tuwasiliane kwa namba 0653875037.
Shukrani
 
Niko dar es salaam,bei ni 160 kwa kila moja.
 
Mkuu unapoziuza jaribu kutofautisha bei. Moja iwe juu nyingine iwe bei chini kidogo
Mfano:
Vodacom
...wakala anapomuwekea mteja pesa ama anapopokea pesa iliyotolewa na mteja...Wakala hapati taarifa yoyote ya commission ya huo muamala lakini mitandao mingine km tigo wao wanamjuza Wakala kwamba mrejaa ni........., pia kwa mteja aliyetoa anajuzwa kwenye meseji kwamba ada ya kutolea amekatwa .......... (Kwa voda haya mambo hayapo.....) Zaidi ya makaratasi ya kubandika ukutani

Hebu tofautisha bei, mmoja ameboresha Huduma na anafanya kwa uwazi hata anapoiba unakuwa na mwanga kwamba naibiwa hapa. Huyu voda anafanya kazi kwa usiri na anapoiba huwezi jua unaibiwa wapi...unaweza ukawa unaibiwa kila muamala lakini unashindwa uanzie wapi kudai haki yako.
Hebu bei ya laini ya voda shusha...toa haki kwa maboresho ya Huduma walioifanya Tigo.
Hahahaa
 
Back
Top Bottom