Matonya Mazengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 235
- 141
Ndugu wana jf, ninaomba kuwauliza wale wa taalum au wanafahamu ni panel gani iliyo bora kwa matumizi ya nyumbani? ikiwemo kutumia kwenye jokofu, kiyoyozi nk.
naomba msaada wenu nitavipata wapi na kwa bei gani.
naomba msaada wenu nitavipata wapi na kwa bei gani.